Friday, November 28, 2014

Eng. Ahmed Dau Alamba Nondozzzz ya Masters of Science Degree in Petroleum, Energy, Economics and Finance katika Chuo Kikuu cha Aberdeen

 Mrs Zeinab Dau Eng. Ahmed Dau na Dr Ramadhani K Dau Kwenye mahafali ambayo Ahmed ametunukiwa  Masters of Science Degree in Petroleum, Energy, Economics and Finance katika Chuo Kikuu cha Aberdeen, Uingereza
  Mama mzazi Mrs Zeinab Dau na Eng. Ahmed Dau wakila pozi la kumbukumbu
 Eng. Ahmed Dau akiwa na baba yake mzazi  Dr Ramadhani K. Dau 
 Eng Ahmed na baba yake  Mdogo Abdul Dau
 Eng Ahmed na mdau Kheri Mahimbali 
 Eng Ahmed daua akipongezwa  na Meya wa London Haruna Mbeyu
Eng Ahmed daua akiwa na Meya wa London Haruna Mbeyu na Mohamed Janguo

No comments: